Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA MBALIMBALI ZA WATU WALIONASA AMA KUGANDIANA KWENYE TEGO JINSI ILIVYOKUWA HOSPITALI YA TEMEKE



Wananchi wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani Temeke.
FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke
Baadhi ya watu waliofurika upande wa Hospitali wakitaka kuwaona wapenzi walionasana
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top