MARA kwa mara jamii imekuwa
ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es
Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa
wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi
cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika wakimpiga
askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kiktuo kikuu cha mabasi
mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa
akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.
Loading...
Home » Unlabelled » TULISHAZOEA KUSIKIA WAKIPIGWA, LEO NI ZAMU YA MWANAJESHI KUPEWA KICHAPO NA MATRAFIKI. KWANINI VYOMBO VYA DOLA HAWAPENDANI WENYEWE KWA WENYEWE?
Post a Comment