Mkurugenzi
wa Huduma za Ufundi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Mhandisi
Reginald Kimambo akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa taasisi hiyo,
ramani ya ujenzi wa jengo la ghorofa saba walipotembelea kukagua maendeleo ya
ujenzi huo, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Wajumbe wakielekea kuangalia eneo patakapojengwa jenmgo hilo
Wajumbe wakinagalia ramani
Wafanyakazi
wa MOI wakielekea sehemu ya kiwanja
Wakiangalia sehemu ya uwanja huo
Sehemu ya kiwanja hicho
Maandalizi
Alfajiri
2 hours ago
Post a Comment