Jumla ya wanamitindo kumi na
mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR
2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada
jumapili. Wanamitindo hao ni Elizabeth
Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth
Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer Njabili
..........
|
|
Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa
shindano Methuselah
Magese baada ya kazi nzito ya usaili kumalizika.pembeni ni baadhi ya models
wasubiri picha za hapa na
pale.
|
|
on Monday, November 19, 2012
Post a Comment