Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BAADHI YA STORY ZA SOKA KIMATAIFA ZILIZO TAMBA MWAKA 2012: RVP KUHAMIA MAN UTD,ZAMBIA KUTWA AFCON, MUAMBA KUANGUKA UWANJANI NK

 





ROBIN VAN PERSIE AHAMIA MAN UTD



Zambia bingwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2012

NewsImages/6249614.jpg
Mashujaa wa Chipolopolo





























LIVERPOOL MABINGWA KOMBE LA CARLING



Liverpool jana ilifanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kombe la Carling kwa kuinyonyoa Cardiff kwa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya kutoka sare ya 2-2 katika muda wa nyongeza kwenye mechi kali ya fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley.


Man City mabingwa England







KOCHA WA CHELSEA VILLAS-BOAS ATIMULIWA








Andre Villas-Boas.

Kocha wa Chelsea ya England, Andre Villas-Boas ametimuliwa kazi na klabu ya Chelsea leo baada ya kudumu klabuni hapo kwa takribani miezi nane. Aliyekuwa msaidizi wa kocha huyo, Roberto Di Matteo ndiye anayeshikilia mikoba ya kocha huyo wakati mmiliki wa timu hiyo, Roman Abramovich akitafuta mrithi wa AVB ambaye atakuwa kocha wa nane katika kipindi cha miaka tisa kuifundisha timu hiyo

Fabrice Muamba aanguka uwanjani katika mechi ya kombe la FA






Tottenham's FA Cup game against Bolton
Wanderers has been abandoned after
Trotters midfielder Fabrice Muamba
collapsed and stopped breathing.
Medics spent 10 minutes trying to
resuscitate the player on the field before the
players were called off by referee Howard
Webb.
BBC Radio 5 live senior football reporter Ian
Dennis says the midfielder is fighting for his
life.
The score was 1-1 when Muamba, 23,
collapsed on 41 minutes.
Medical staff gave Muamba mouth-to-mouth
resuscitation and tried to revive him with a
defibrillator.
He was taken on the pitch on a stretcher
and ESPN reported that he was not
breathing as he was taken down the tunnel.
The former Arsenal midfielder has been
taken to hospital.






Wanchezaji wa Manchester City wakishangilia baada ya ushindi

































Wanchezaji wa Manchester City wakishangilia baada ya ushindi



Manchester City ikifunga mabao mawili zikiwa zimesalia dakika mbili za nyongeza mpira kumalizika, wamefanikiwa kuunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Kandanda ya England kwa kuwalaza QPR waliocheza wakiwa 10 kwa mabao 3-2 katika mchezo uliomalioza msimu kwa mtindo wa kusisimua.



REAL MADRID MABINGWA LA LIGA SPAIN










Jose Mourinho amedhihirisha usemi wake kuwa mara zote timu yake yoyote anayofundisha inakuwa kali zaidi mwaka wa pili baada ya kuanza kutoa matunda kwa timu ya Real Madrid iliyokuwa ikisota na kusubiri ubingwa huo baada ya miaka 4 sasa.huo ni ubingwa wa 4 kwa Maurinho katika nchi tofauti.

Katika pambano lao dhidi ya Athletico Bilbao katika uwanja wa San Mamés mabingwa hao wapya wa Spain Real Madrid ileweza kujipatia mabao yao kupitia kwa Iguain,Ozil na Ronaldo hivyo kutosha kuandika ubingwa wa 32 kwa timu hio ya Madrid








Juventus, mabingwa wapya wa ligi kuu ya Italia - Seria A




Wachezaji wa timu ya Juventus wakishangilia ubingwa


Wachezaji wa timu ya Juventus wakishangilia ubingwa





Atletico Madrid mabingwa wapya wa Europa

Klabu ya Atletico Madrid ya Hispania imefanikiwa kuchukua kombe la Europa maarufu kama UEFA ndogo baada ya kuichapa bila huruma klabu ya Athletic Bilbao ya nchini humo kwa jumla ya mabao 3-0 kwenye mechi ya fainali iliyopigwa kwenye dimba la National Arena uliopo kwenye jiji la Bucharest nchini Romania, Magoli ya Atletico yalitiwa kimiani na mshambuliaji hatari raia wa colombia Radamel Falcao ambaye alipiga mawili kwenye dakika 7 na lingine akitupia dakika ya 34, wakati msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bilbao ulipigiliwa na kiungo wa raia wa Brazil Diego mnamo dakika ya 85, Hivyo kuwafanya Atletico kutoka uwanjani kifua mbele kwa ushindi huo mnono na kukabidhiwa kombe lao.

CHELSEA MABINGWA ULAYA!



CHELSEA YATWAA UBINGWA KOMBE LA FA UINGEREZA








KLABU ya Chelsea imetwaa Kombe la FA hivi

punde tu, kwenye Uwanja wa Wembley baada ya kuifunga mabao 2-1 Liverpool.


Shukrani kwao, Ramires na Didier Drogba
walioifungia mabao hayo Uwanja wa Wembley
jioni hii, wakijiandaa kuwa mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
dhidi ya Bayern Munich, Ujerumani.


Ramires alifunga bao la kwanza baada ya
makosa ya Jay Spearing kabla ya Drogba kufunga la pili na Andy Carroll aliyetokea
benchi kuifungia Liverpool la kufutia machozi kwa kutumia makosa ya John Terry.

Lakini Liverpool ni kama walinyimwa bao la
kusawazisha na refa baada ya mpira uliopigwa na Carroll kuonekana kabisa
umevuka mstari wa goli, lakini refa akachomoa.


ROY HODGSON KOCHA MPYA ENGLAND









Roy Hodgson, West Bromwich Albion (Getty Images)




KOCHA wa West Brom, Roy Hodgson amepewa ruhusa na klabu yake kufanya mazungumzo na Chama cha Soka England, FA kuhusu kuchukua nafasi ya ukocha wa timu ya taifa ya England iliyo wazi.

Mwenyekiti wa FA, David Bernstein amesema katika taarifa yake kwenye tovuti ya bodi hiyo ya soka, kwamba mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 64 ndiye pekee ambaye hadi sasa ameombwa kufanya kazi hiyo.
Hodgson kwa sasa anapiga mzigo Hawthorns na anaelekea kusaini mkataba mwishoni mwa msimu.







EURO 2012: SPAIN WATWAA UBINGWA ULAYA!







Three and easy: Torres came off the bench to score in a Euro final for the second time


TORRES atwaa BUTI ya DHAHABU!


Spain wameicharaza Italy bao 4-0 katika Fainali ya EURO 2012 iliyochezwa Uwanja wa Olimpiki huko Kiev, Ukraine na kuweka historia ya kuwa Nchi ya kwanza Barani Ulaya kuweza kutetea Taji lao ambalo walilipata kwenye EURO 2008 na pia kuwa Nchi ya kwanza Duniani kuweza kutwaa Mataji matatu makubwa mfululizo ambayo ni EURO 2008, Kombe la Dunia Mwaka 2010 na

EURO 2012.



SHINJI KAGAWA ATUA MANCHESTER



Shinji Kagawa atua Manchester

Nyota wa klabu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani Shinji Kagawa yupo ndani ya Manchester kwa ajili ya mazungumzo na United juu ya uhamisho wake kwenda. Kagawa raia wa Japan ambaye hivi karibuni alikataa kuongeza mkataba na klabu yake hiyo ya Ujerumani alitua na ndege jana usiku. Kagawa hivi karibuni alielezea waziwazi azma yake ya kutaka kuichezea Manchester United msimu ujao. Kocha wa Dortmund Juergen Klopp alieleza “Siku zote tunajitahidi kuushinda upinzani, lakini kwa hili nadhani Shinji anataka kucheza kwenye ligi kuu ya Uingereza msimu ujao”




Zlatan Ibrahimovic Ahamia Paris St Germain



Paris St Germain finalise Zlatan Ibrahimovic transfer from AC Milan - Ibrahimovic at a press conference today


Paris move: Zlatan Ibrahimovic at a press




DI MATTEO ATUPIWA VIRAGO CHELSEA






Di Matteo amebaki historia Chelsea




BILIONEA Mrusi Roman Abramovich amemfukuza kazi Kocha Mtaliano, Roberto Di Matteo asubuhi ya leo baada ya matokeo mabaya mfululizo.


Mmiliki huyo wa Chelsea, amekasirishwa na matokeo mabaya ya timu hiyo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, na kumfukuza kazi Mtaliano huyo baada ya timu kuzabwa mabao 3-0 na Juventus jana, ikiwa ni miezi sita tu tangu aipe timu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Sasa mtu wa kwanza kabisa ambaye Abramovich anamtaka akarithi mikoba ya Mtaliano huyo ni kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola, na kama akikwama kwa Mspanyola huyo ambaye amesema hataki ukocha tena kwa sasa, basi atahamishia ndoana zake kwa Rafa Benitez




BENITEZ KOCHA MPYA CHELSEA










Rafael Benitez


Corinthians Mabingwa wa dunia













Wachezaji wa Corinthians ya Braazil wakishangilia baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu jijini Yokohama.Mabingwa hao wa Amerika Kusini waliwafungwa mabingwa wa Ulaya Chelsea kwa bao 1-0. Picha na AFP




SCOLARI NDIO KOCHA MPYA BRAZIL,PERRERA KUMSAIDIA










Luiz Felipe Scolari ameteuliwa kuwa Kocha wa Brazil ikiwa ni mara yake ya pili baada ya Kocha huyo, aliewahi kuzifundisha Chelsea na Portugal, kuiongoza Brazil Mwaka 2002 kutwaa Kombe la Dunia lililochezwa huko Nchini Japan na Korea ya Kusini
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top