Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akipata
maelezo kutoka kwa Uongozi wa Skuli ya Francis Maria Tomondo ambapo Padre
Ambrose Mkenda wa Paroko ya Parokia ya Mpendae alijeruhiwa kwa risasi hivi
karibuni
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi akiangalia gari ya Paroko wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda
ambayo alikuwa akiendesha na kuvamiwa kwa risasi ya watu
wasiojuilikana

Ali Iddi akifuatana na Father Shayo wa Kanisa la Roman Catholic liliopo minara
miwili baada kuwafariji na kutoa mkono wa pole kwa uongozi wa huo kufuatia
kujeruhiwa kwa Paroko wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda.
Na
Othman Khamis Ame
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi alifika katika makazi ya padri Ambrose Mkenda wa Paroko wa parokia ya
kanisa katoliki la Mpendae Zanzibar kuupa pole uongozi wa Kanisa hilo pamoja na
Familia yake kufuatia ajali ya kupigwa risasi hivi karibuni na watu
wasioujulikana.
Tukio hilo la kusikitisha lililofanywa na watu
wawili waliopakiana kwenye Vespa lilitokea langoni mwa Skuli ya Francis Maria
iliyopo Tomondo Wilaya ya Magharibi ambapo ndio makaazi ya Padri
Ambrose.

Na Othman Khamis Ame

Post a Comment