Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHADEMA WAMJIA JUU MAGUFULI

Mkurugenzi wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa EZEKIEL WENJE
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka Serikali kutolea ufafanuzi suala la Wazirwa Ujenzi DK.JOHN MAGUFULI kuhudhuria Sherehe za kutambulishwa kwa mgombe Urais chama cha Orange Demokratic Movement (ODM) cha nchini KENYA,RAILA ODIGA,endapo kama suala hilo lina Uhusiano wowote wa Kiserikali.
Akizungumza kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Mkurugenzi wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa EZEKIEL WENJE amesema kuwa kitendo cha Waziri huyo kuhudhuria katika sherehe kinatoa picha mbaya ya serikali ya Tanzania na Serikali ya Kenya iliyopo Madarakani,kutokana na ushirikiano wa muda mrefu baina ya serikali hizo.
kwa sentensi nyingine WENJE amesema kuwa MAGUFULI kupanda jukwaani kuanza kumnadi kiongozi wa ODM kinakiuka kanuni na taratibu zakimataifa ambapo amedai kuwa kwa ujibu wa kanuni za Umoja wa mataifa ni kosa kubwa Taifa moja kuingilia Siasa za Umoja wa Mataifa nikosa kubwa Taifa moja kuingilia Siasa za Taifa lingine Hatakama mataifa hayo yanaushirikiano wowote.

chanzo: Millard Ayo


Hotuba ya DK. MAGUFULI December 06 mwaka huu alipohudhuria mkutano wa kumtambulishwa RAILA ODINGA kugombea nafasi ya Uraisi KENYA kupitia chama cha ODM.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top