Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHANGAMKIA TENDER YA KUANDIKA


Kuna nafasi ya kazi maalumu kwa ajili ya Mtaalamu wa Kuandika Tenders za namna mbalimbali regardless ni katika Sector gani. Kazi atakazofanya ni pamoja na:
1.Kuandika Tenders za Serikalini na Mashirika ya Umma kutegemeana na ToR
2.Kuandika Tenders na Proposals za Makampuni Binafsi
3.Kuandika Company Profile na kutafuta kazi
4.Kushiriki katika kufanya kazi zilizopatikana kama coordinator
5.Kuwasiliana na Ma-Consultants mbalimbali walioko katika database kwa kazi zilizopatikana
6.Kumaintain database ya Ma-Consultants mbalimbali
7.N.k.
Sifa Za Mwombaji:
1.Awe na Elimu ya Chuo Kikuu
2.Awe na utaalamu wa kuandika Tenders za aina mbalimbali kutegemeana na ToR
3.Awe na uwezo wa kufuatilia kazi mbalimbali: Sales & Marketing
4.Awe ana bidii ya kazi na mwenye kujituma
5.Awe anaielewa vema lugha ya Kiingereza: Kuongea na kuandika
6.Awe anajua kutumia vema computer na kuandika reports mfano: Ms-Word; Excel etc.
Mshahara utazingatia sifa za mwombaji.
Tuma maombi yako na CV haraka kwenda Mtsimbe@gmail.com & sam@danimex.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top