Domayo
& Msuva
Nizar
Khalfani akiwa uwanja wa ndege
wachezaji
wakisubirai muda wa ukaguzi
David Luhendee na Said
Bahanuzi
Nadir
Haroub na Baraka Kizuguto
Kocha Mkuu Ernest Brandts akiwa na mjumbe wa kamatai ya
utendaji ambaye pia ni mkuu wa msafara Mohamed
Nyenge
Ladislaus Mbogo akiwa na
Nadir Haroub Canavaro Uwanja wa Ndege JK
Nyerere —
Meneja wa timu Hafidh Saleh —
in Dar es
Salam.
Viongozi wa Yanga wakiwa uwanja wa
ndege
YANGA SC, mabingwa mara tano wa Klabu
Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame wameondoka Alfajiri ya leo, saa
10:30 usiku kwenda Uturuki kuweka kambi ya mazoezi ya wiki
mbili.
Kikosi kizima cha Yanga
kilikuwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 8:00 usiku kwa taratibu za
kusafiri katika ziara hiyo Yanga itaweka kambi katika mji wa Antalya uliopo
kusini mwa Uturuki na itafikia katika hoteli ya Sueno Beach iliyopo pembezoni
mwa bahari ya Meditreanian, na itakua ikifanya mazoezi katika viwanja vikubwa
viwili vilivyopo katika hotel hiyo na kiwanja kidogo cha nyasi
bandia.
Kikosi cha Yanga kilichoondoka Alfajiri
ya leo ni makipa; Ally Mustafa 'Barthez', Said Mohamed na Yussuf Abdul, mabeki
Juma Abdul, Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Stefano Mwasyika, Oscar Joshua,
Mbuyu Twite, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Ladisalus Mbogo na Kelvin
Yondani.
Viungo ni Athumani Iddi ‘Chuji’, Frank
Domayo, Haruna Niyonzima, Kabange Twite, Nurdin Bakari, Omega Seme, Simon Msuva,
Rehani Kibingu, Nizar Khalfani na David Luhende wakati washambuliaji ni Didier
Kavumbagu, Said Bahanunzi, Jerry Tegete, George Banda na Hamisi
Kiiza.
Upande wa benchi la ufundi ni Kocha Mkuu
Mholanzi, Ernie Brandts, Kocha Msaidizi Freddy Felix Minziro na Kocha wa makipa,
Razak Ssiwa, na Maofisa wengine ni Daktari wa timu, Sufiani Juma, Meneja Hafidh
Saleh, Ofisa Habari, Baraka Kizuguto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Mohammed
Nyenge.
Mwandishi wa Gazeti la Mwanaspoti, Michael Momburi
yupo kwenye ziara hiyo ya kwanza ya Yanga Ulaya, yeye akigharamiwa na kampuni
yake.
Domayo & Msuva |
Nizar Khalfani akiwa uwanja wa ndege |
wachezaji wakisubirai muda wa ukaguzi |
David Luhendee na Said Bahanuzi |
Nadir Haroub na Baraka Kizuguto |
Kocha Mkuu Ernest Brandts akiwa na mjumbe wa kamatai ya
utendaji ambaye pia ni mkuu wa msafara Mohamed
Nyenge
YANGA SC, mabingwa mara tano wa Klabu
Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame wameondoka Alfajiri ya leo, saa
10:30 usiku kwenda Uturuki kuweka kambi ya mazoezi ya wiki
mbili.
Kikosi kizima cha Yanga
kilikuwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tangu saa 8:00 usiku kwa taratibu za
kusafiri katika ziara hiyo Yanga itaweka kambi katika mji wa Antalya uliopo
kusini mwa Uturuki na itafikia katika hoteli ya Sueno Beach iliyopo pembezoni
mwa bahari ya Meditreanian, na itakua ikifanya mazoezi katika viwanja vikubwa
viwili vilivyopo katika hotel hiyo na kiwanja kidogo cha nyasi
bandia.
Kikosi cha Yanga kilichoondoka Alfajiri
ya leo ni makipa; Ally Mustafa 'Barthez', Said Mohamed na Yussuf Abdul, mabeki
Juma Abdul, Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Stefano Mwasyika, Oscar Joshua,
Mbuyu Twite, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Ladisalus Mbogo na Kelvin
Yondani.
Viungo ni Athumani Iddi ‘Chuji’, Frank
Domayo, Haruna Niyonzima, Kabange Twite, Nurdin Bakari, Omega Seme, Simon Msuva,
Rehani Kibingu, Nizar Khalfani na David Luhende wakati washambuliaji ni Didier
Kavumbagu, Said Bahanunzi, Jerry Tegete, George Banda na Hamisi
Kiiza.
Upande wa benchi la ufundi ni Kocha Mkuu
Mholanzi, Ernie Brandts, Kocha Msaidizi Freddy Felix Minziro na Kocha wa makipa,
Razak Ssiwa, na Maofisa wengine ni Daktari wa timu, Sufiani Juma, Meneja Hafidh
Saleh, Ofisa Habari, Baraka Kizuguto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Mohammed
Nyenge.
Mwandishi wa Gazeti la Mwanaspoti, Michael Momburi yupo kwenye ziara hiyo ya kwanza ya Yanga Ulaya, yeye akigharamiwa na kampuni yake. |
Post a Comment