Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUYU NDIO BIBI WA MIAKA 60 ALIYEUA JAMBAZI KWA RISASI BAGAMOYO.

 

.
Mara nyingi taarifa ya jambazi kuuwawa na mwanaume ni kitu cha kawaida lakini kwa jambazi kuuwawa kwa risasi iliyopigwa na mwanamke tena bibi mwenye umri wa miaka 61 anaekaribia 62 ni kitu kikubwa sana.
Kutokana na kumuua jambazi mmoja kati ya nane waliomvamia nyumbani kwake, baada ya kumuua huyo mmoja wale wengine waliobaki wakakimbia.
Chanzo: Millard Ayo
.
.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top