Jaji Mark
Bomani
--
KUJIRUDIA kwa matukio ya polisi
kutumia silaha za moto dhidi ya raia, kumepokewa kwa hisia tofauti, huku
Mwanasheria Mkuu wa Kwanza wa Serikali, Jaji Mark Bomani akilitaka jeshi hilo
kuacha kutumia nguvu wanapokuwa katika operesheni
zao.
Wakizungumza jana kwa nyakati
tofauti kuhusu tukio la hivi karibuni la kupigwa risasi mwandishi wa habari wa
gazeti la Tanzania Daima, watu wa kada mbalimbali walisema, kitendo cha polisi
kutumia nguvu sio busara.
Post a Comment