|
Gari ndogo yenye nambari za usajili Z 897 DF ikionekana kuvurugika
kabisa baada ya kifusi cha dari ya jengo la Makumbusho ya Taifa la Beit al ajaib
kuidondokea kufuatia mvua za vuli zinazoendelea kunyesha
Zanzibar.
|
|
Jengo
la Beit Al- Ajaib lililojengwa na Utawala wa Kijerumani Mwaka 1870 likiwa na
umri wa karibu miaka 142 hutegemewa sana katika Sekta ya Utalii ndani ya mwambao
wa Afrika Mashariki pamoja na wataalamu na wanafunzi wa kigeni wanaokuja kufanya
utafiti hapa Nchini.
|
on Monday, December 3, 2012
Post a Comment