Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JK aendelea na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa kuzindua rasmi mradi wa Kibada



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma Kikwete, kulia ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea moja ya nyumba baada ya kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Wa tatu kulia ni Mama Salma Kikwete, kulia ni wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012, akiwa pamoja na Mama Salma Kikwete, Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, Naibu Waziri wa Fedha Sara Salum, Mwanaseheraia Mkuu wa Serikali Bw Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ,Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,

PICHA NA IKULU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top