Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akikagua gwaride la wahitimu wa
mafunzo ya awali kozi namba 26 wa Chuo Cha Magereza Kiwira mkoani
Mbeya.
Gwaride la wahitimu
likipita mbele ya jukwaa kwa heshima.
Wahitimu wa mafunzo ya
awali ya kozi namba 26 wa Chuo cha Magereza, Kiwira mkoani Mbeya wakionyesha
uwezo wao wa kujihami wanapopambana na adui.
Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akimkabidhi Jesca Simatya zawadi ya
heshima kwa kuwa mwanafunzi bora kwa usafi chuoni hapo


Post a Comment