.Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake cha Sekretarieti
na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo, katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na wengine kutoka kushoto ni Makatibu
wa NEC, Asha-Rose Migoro (Siasa na Mambo ya Nje), Zakia Meghji (Uchumi na
Fedha), Nape Nnauye (Itikadi na Uenezi) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar)
Vuai Ali Vuai.
Katibu

na Makatibu wa CCM wa mikoa, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu
wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai.
.Makatibu
wa CCM wa mikoa wakiwa kwenye mkutano wao na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai akisalimiana na Katibu wa NEC, Siasa
na Mambo ya Nje, Asha-Rose Migiro, kabla ya kuanza kikao cha Sekretarieti na
Makatibu wa CCM wa mikoa, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Muhammed Seif
Khatib.

Post a Comment