Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari wa Clouds FM, msanii wa
filamu Elizabeth Michael maarufu Lulu hajatoka nje kwa dhamana bali kesi yake
iliyosikilizwa leo kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itahamishiwa
kwenye mahakama kuu ya Tanzania. Leo mashahidi zaidi ya sita wametoa ushahidi
wao mahakamani hapo akiwemo yeye mwenye Lulu aliyesimulia jinsi tukio hilo
lilivyo kuwa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari wa Clouds FM, msanii wa filamu Elizabeth Michael maarufu Lulu hajatoka nje kwa dhamana bali kesi yake iliyosikilizwa leo kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam itahamishiwa kwenye mahakama kuu ya Tanzania. Leo mashahidi zaidi ya sita wametoa ushahidi wao mahakamani hapo akiwemo yeye mwenye Lulu aliyesimulia jinsi tukio hilo lilivyo kuwa.
Post a Comment