Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Mzee, Ali Mohamed Juma (85) Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini
Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya
kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana
na umri.

kuwajulia hali, leo. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal. Mzee
huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na
umri.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia kumbeba
mtoto, Rajab Abdulhamid Rajab (meizi 8), wakati alipokuwa katika ziara yae ya
kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo katika Kijiji cha Mkokotoni
Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee
Haji Machanu Ngwali, Mkazi wa Mbalungini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati
walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali,
leo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha
Bilal, wakitoka ndani kwa Haji Machanu, Mbalungini Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakati walipokuwa katika ziara ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia
hali, leo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki kuomba
dua na Mzee Juma Muhidin Mohamed, Mkazi wa Mkokotoni Shangani Mkoa wa Kaskazini
Unguja, wakati alipomtembelea kumjulia hali wakati akiwa katika ziara yake ya
kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo. Mzee huyo anasumbuliwa na
ugonjwa wa miguu.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na mkewe Mama Asha
Bilal, wakizungumza na Mzee Maalim, Sheha Haji Machame, Mkazi wa Mkokotoni
Shangani Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati walipokuwa katika ziara ya
kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali, leo.Mzee huyo anasumbuliwa na
ugonjwa wa kuuma kwa miguu.
Post a Comment