Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NMB YAKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI VICTORIA

 

Meneja wa benki ya NMB tawi la NMB House Bi. Benedictor Byabyato (kulia) akikabidhi madawati 25 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Victoria Bw. Sufini Mbwambo iliyopo Dar es Salaam wiki iliyopita.Aanayeshuhudia tukio hilo ni Afisa wa tawi la NMB House Jane Mubezina pamoja na mmoja wa maafisa wa Elimu.
Meneja wa tawi la NMB House Bi. Benedictor Byabyato (kulia) akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria pamoja na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bw. Sufini Mbwambo (kulia) wakati wa makabidhiano ya madati yenye thamani ya shilingi milioni 5, jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Victoria wakiimba nyimbo kushukuru benki ya NMB kwa msaada wa madawati waliyotoa shuleni hapo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top