Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM

 



 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya kisasa baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa saluti alipowasili kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea pamoja na madaktari na wauguzi katika picha ya pamoja baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja katika picha ya pamoja na madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Mnazi mmoja baada ya kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012.PICHA NA IKULU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top