Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza kwenye hafla ya CTI usiku wa kuamkia leo
katika hoteli ya Serena Inn jijini Dar es salaam ambapo wanachama wa taasisi
hiyo waliofanya vyema walizawadiwa vikombe
Meza ya Serengeti
Breweries katika hafla ya CTI usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Serena Inn
jijini Dar es salaam ambapo wanachama wa taasisi hiyo waliofanya vyema
walizawadiwa vikombe na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Meza ya TBL katika
hafla ya CTI usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Serena Inn jijini Dar es
salaam





Post a Comment