Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi
Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa
maafisa wanafunzi 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akikagua gwaride la maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo
ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku
kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa jukwaa kuuna maafisa wakuu wa jeshi
Gwaride la maafisa wanafunzi
katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15,
2012 wakati wa kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni
hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15,
2012
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kamtaba ya kisasa katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya
kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni
hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akitembelea Maktaba ya kisasa katika Chuo Cha Mafunzo ya
Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku
kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya
Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitembelea bweni namba 15 ambamo
Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati akiwa mafunzoni hapo katika Chuo Cha
Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya
kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni
hapo.
Mheshimiwa Rais naomba
kukupiga picha msichana Shalom anamwambia Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho
Kikwete katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi
Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu
chuoni hapo
on Sunday, December 16, 2012
Post a Comment