Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu
wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la ushindi wa mwaka wa uzalishaji
bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) usiku wa
kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012
katika hoteli ya Serena Inn. Kulia ni Mwenykiti wa makampuni ya IPP Dkt. Rginald
Mengi na Kushoto ni Bw. Arnold Kileo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi na
wadau wa Tanzania Distilleries bada ya kunyakua kombe la ushindi wa
mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda
nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena
Inn.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu
wa Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kombe la ushindi wa
mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda
nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena
Inn.
Mzee Arnold Kileo akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa
Tanzania Distilleries Bw David Mgwassa kwa kutwaa kombe la ushindi wa
mwaka wa uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la Wenye Viwanda
nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena
Inn.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na washindi wa nyanja mbalimbli za uzalishaji bora nchini katika hafla ya Shirikisho la
Wenye Viwanda nchini (CTI) usiku wa kuamkia leo Ijumaa Desemba 14, 2012 katika hoteli ya Serena
Inn.

Post a Comment