Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Jaji Kiongozi Fakhi
Jundu(kushoto),Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Bernard Membe(watatu kulia) na mkuu wa mkoa wa Lindi
Ludovick Mwananzila wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo
la Mahakama ya Mwanzo lilijengwa kwa nguvu za wananchi na
wafadhili katika kata ya Rondo,jimbo la Mtama,Lindi vijijini
jana.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Jaji Kiongozi Fakhi Jundu
wakikagua jengo jipya la mahakama ya Mwanzo lililojengwa kwa nguvu
ya wananchi na wafadhili mbalimbali katika kata ya Rondo, jimbo
la Mtama,Lindi vijijini jana.Picha na Freddy
Maro
Post a Comment