Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa
Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,( kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais
Maalim Seif Sharif Hamad,na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi,pia Katibu Mkuu
Kiongozi Dk.Abduhamid Yahya Mzee,(kushoto)

Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa
Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais,katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo
katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na
RamadhanOthman,Ikulu-Zanzibar

Post a Comment