Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo
amesisitiza kwamba hatoweza kushangilia ikiwa atafunga katika hatua ya 16 ya
UEFA Champions league dhidi ya Manchester United.
Nahodha huyo wa Ureno ambaye alicheza kwa mafanikio
makubwa akiwa na United katika kipindi cha miaka 6 kabla ya kuondoka na kujiunga
Los Blancos katika kipindi cha kiangazi mwaka 2009 kwa ada iliyovunja rekodi ya
dunia ya £80 million.
"Sitoshangilia goli nikiweza kufunga dhidi ya Man
United," Ronaldo alikaririwa akisema siku ya alhamisi na mtandao wa
AS.
Ronaldo, 27, hivi karibuni alielezea hisia zake juu ya kocha wa
Manchester United na kusema kocha huyo raia wa Scotland amecheza part kubwa
katika kumfanya mchezaji ambaye alivyo sasa.
"Ferguson ni mtu mzuri sana.
Mwanadamu mwema. Amenifundisha vitu vingi," Ronaldo aliiambia The
Sun.
"Kama nilivyosema huko nyuma, Fergie ni kama baba yangu kwenye soka.
Nammisi sana yeye na mahusiano tuliyokuwa nayo."
Nahodha huyo wa Ureno ambaye alicheza kwa mafanikio makubwa akiwa na United katika kipindi cha miaka 6 kabla ya kuondoka na kujiunga Los Blancos katika kipindi cha kiangazi mwaka 2009 kwa ada iliyovunja rekodi ya dunia ya £80 million.
"Sitoshangilia goli nikiweza kufunga dhidi ya Man United," Ronaldo alikaririwa akisema siku ya alhamisi na mtandao wa AS.
Ronaldo, 27, hivi karibuni alielezea hisia zake juu ya kocha wa Manchester United na kusema kocha huyo raia wa Scotland amecheza part kubwa katika kumfanya mchezaji ambaye alivyo sasa.
"Ferguson ni mtu mzuri sana. Mwanadamu mwema. Amenifundisha vitu vingi," Ronaldo aliiambia The Sun.
"Kama nilivyosema huko nyuma, Fergie ni kama baba yangu kwenye soka. Nammisi sana yeye na mahusiano tuliyokuwa nayo."
Post a Comment