Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bwana Emphraim Mdee akiongea na Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Urasimishaji wa Tasnia ya Filamu na Muziki Tanzania na kuanzishwa kwa utaratibu wa kubandika stempu za kodi kwenye kazi za wasanii,katikati ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ukaguzi wa Filamu Tanzania Bibi Joyce Fissoo.
Loading...
Post a Comment