Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Uzinduzi Wa Baraza La Chuo Cha Uongozi Wa Fedha Chwaka Wafanyika



 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka wakiwa katika Kikao cha Uzinduzi wa Baraza hilo kilicho fanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Uongozi wa Fedha huko Chwaka Wilaya ya Kati Unguja
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.kulia yake ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Dk,Zakia Ahmed Abubakar na kushoto yake ni Mkuu wa Chuo hicho Kamal Kombo Bakari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja na Wajumbe wa Baraza la Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Wilaya ya Kati Unguja.
 
                  PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top