Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Mke wake Mama Salma Kikwete ambaye ni Mwenyekiti
wa Taasisi ya WAMA kwa kutambua mchango wa taasisi hiyo katika mapambano ya
Ukimwi wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambayo kitaifa
iliadhimishwa mkoani Lindi kwenye uwanja wa Ilulu na kushirikisha wadau
mbalimbali wanaopambana na janga la ugonjwa wa ukimwi, kushoto ni Mkuu wa mkoa
wa Lindi Ludovick Mwananzila
Rais jakaya
Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja wa PSI Mtwara na Lindi kwa kutambua mchango wa
taasisi hiyo katika mapambano ya ukimwi wakati wa maadhimisho ya siku ya ukimwi
duniani yaliyofanyika jana mjini Lindi, kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya
kudhibiti Ukimwi TACAIDS Dr. Fatma Mrisho.
Mwenyekiti wa
taasisi ya WAMA mama Salma Kikwete akifurahia tuzo hiyo pamoja na wafanyakazi wa
taasisi yake mara baada ya kukabidhiwa na Rais Jakaya Kikwete jana katika
maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika mjini Lindi
Post a Comment