Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kulia) akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe mara baada ya kumtembelea ofisini kwake leo mjini Bukoba. Waziri Dk. Mukangara yupo mkoani humo kwa ajili ya kuangalia jinsi fedha za mkopo kutoka mfuko wa vijana zilivyoweza kuwasaidia vijana kujikwamua kimaisha.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali
Mstaafu Fabian Massawe (kushoto) akimsomea taarifa fupi ya mkoa wake Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kulia )
alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Bukoba. Waziri Dk. Mukangara yuko mkoani
Kagera kwa ajili ya kuangalia jinsi fedha za mkopo kutoka mfuko wa Maendeleoa
ya vijana zilivyoweza kuwasaidia vijana kujikwamua
kiuchumi.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa
wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe alipomtembelea ofisini kwake leo mjini
Bukoba. Waziri Dk. Mukangara yupo mkoani humo kwa ajili ya kuangalia jinsi
fedha za mkopo kutoka mfuko wa vijana zilivyoweza kuwasaidia vijana kujikwamua
kimaisha.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara (kushoto ) akiongea na viongozi wa
mkoa wa Kagera (hawapo pichani) leo mjini Bukoba jinsi Serikali inavyoangalia
uwezekano wa kuongea mkopo kwa SACCOS zinazolenga shughuli za maendeleo ya
vijana kutoka shilingi milioni tano hadi kumi kutokana na mahitaji ya fedha
hizo kuwa makubwa. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Vijana
James Kajugusi.
Post a Comment