Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
akiangalia shamba la mahindi katika kijiji cha Mwamapuli ambalo lime pandwa kwa
kufuata mstari.Kushoto kwake ni mtalamu wa mifugo uvuvi na nyuki kutoka Ofisi ya
Waziri Mkuu,Nemes Makembe na anaye fuatia ni Kanali Ngerema Rubinga ambaye ni
Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
anaonekana akipiga picha twiga ambaye alikuwa jirani na bwalo la chakula katika
hifadhi ya katavi ambapo Waziri Mkuu alikuwepo kwa ajili ya kupata chakula cha
mchana baada ya mkutano wa hadhara katika kijiji cha stalike.Nyuma yake ni
Mhifadhi Mkuu wa Mbuga ya Katavi,Jonh Gara.
Kikundi cha kina mama wa
kijiji cha Mbede kinachoitwa Maswolwa kiki cheza ngoma ya Nsimba wakati Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda alipo wasili katika kijiji hicho kwa ajili ya mkutano wa
hadhara.Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa jimbo la Katavi yupo mkoani hapa kwa
ajili ya kuhamasiha shughuli za maendeleo.Picha na Chris
Mfinanga.
Post a Comment