Shuhuli
maalimu alioandalia na wanaJumuiya ya DMV ya kumuanga rasmi Mhe
Mwanaidi Maajar kwa kazi nzuri ya ushirikiano na umoja aliotoa katika
kuwaunganisha waTanzania waishio hapa DMV nchini Marekani kwa ukarimu
wake mkubwa Jumuiya ya waTanzania DMV pia imemtunukia zawadi mbali
mbali kama shukurani kutoka kwa Jumuiya hiyo .

Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico Mhe.
Mwanaidi Sinare Maajar akionekana kubeba zawaidi aliyotunukiwa na
Jumuiya ya waTanzania DMV Nchini Marekani

Balozi
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe.
Mwanaidi akiwahutubia wanaJumuiya ya Tanzania DMV ndani ya ukumbi wa
Campus Dr College Park Maryland Nchini Marekani

Uongozi mzima wa Jumuiya ya waTanzania DMV ukiwa pamoja na ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico kwenye meza ya pamoja

Watanzania mbali mbali kutoka DMV waliojitokeza katika hafla ya kumuanga Balozi Mhe. Mwanaidi Maajar

Mh.Naibu
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mama Munanka, akiwa makini
kumsikiliza, Mhe Balozi Maajar (Kulia) mshereheshaji wa hafla hiyo MC
Mayor Mlima akisherehesha!

Mwanakamati
wa Jumuiya Hamza Mwamoyo alipokua akifungua rasmi hafla hiyo
ilioandalia na Jumuiya ya waTanzania DMV katika ukumbi wa Campus Dr
College Park Maryland Nchini Marekani.

Brg.
General Maganga pia aliagwa kwa kukabiziwa zawadi na Jumuiya ya
waTanzania DMV kwa ushirikiano wa hali na mali katika muda wake wote
alioishi hapa DMV alimkua mmoja wa washirikia katika hafla zote za
waTanzania waishio hapa DMV



Post a Comment