Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msani wa sanaa hapa nchini anayefahamika kwa jina la sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya muhimbili.
Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu
......... Endelea kufuatilia hapa hapa NDGSHILATU BLOG tutakuletea habari zaidi baadaye kidogo ........
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen
Post a Comment