Shamsa Ford juzi kati alifanya party kubwa kwa ajili ya mwanae kama shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kiumbe alichompatia nakuwaalika wasanii wanzake wengi ili kumpa sapoti kama kawaida ya Bongo Movie Unit kupeana ushirikiano pale linapotokea jambo tucheki mambo yalivyokuwa...
Shamsa Ford akiwa na
mwanaye Terry Dickson.
Irene Uwoya
akiwasili.
Shamsa pamoja na rafiki yake kipenzi Zamaradi Mketema
mtangazi wa kipindi cha Take One mwenye top nyekundu wakiwa na
mdau.
Ulifika wakati wa
kufungua Shampeni , The Greatest niliwakilisha
vyema.
Mambo yakiendelea
kupamba moto..
JB
pia,,,
Kwa upande wakina Dada
waliwakilishwa na Davina.
Taratibu
zikiendelea..
Ulifika muda wa Keki,
Shamsa akimlisha mchumba wake Dickson
Irene Uwoya akila
keki..
Ulifika muda wa Maya kula keki..
Mama wa Bongo Movie
Eliethy Chumila naye akuwa nyuma katika upande wa
keki
Cath
Rupia.....
Mariam
Ismail..
Ule muda muafaka wa The
Greates kula keki ulifika.
Nikipata picha ya
pamoja.
Mkurugenzi wa 5 Effect
Wiliam Mtitu kwenye picha ya pamoja na Shamsa na mchumba
wake.
Inno mdau namba moja wa Rj
Company bila kukosa..
Mambo ya ulabu palikuwa
hapatoshi wadau.
Msosi
time.
Muda wa kutoa
zawadi...
Kama kawaida ya Erick
Ford( JB) kumwaga pesa kama njungu ni kawaida yake.
Juma Chikoka naye hakuwa
nyuma katika kutoa mkono wa pongezi
Taratibu za kutoa zawadi
zikiendelea...
Batuli(Neshi) akimwaga
madolari.
Davina naye akimwaga
mvua ya pesa kwa Shamsa
Vivian naye akifanya
mambo yake.
Rado akitoa shoo ya
hatari sana...
Dickson Mchumba wa
Shamsa akiongea machache kuwashukuru Bongo Movie na wadau
wote.
Single Mtambalike akimwaga
cheche zake.
The Greateast nami
nikiongea machache.
Dick aliweza kufanya
suprise kubwa ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi
wake...
Akiwa na furaha
kubwa...
Shamsa akitoa neno lake
la shukrani kwa wadau wote walioudhuria party ya mwanae na kuelezea furaha
aliyonayo baada ya kuvishwa pete ya uchumba.
chanzo: Ray the Great
2 comments
jman hyo party ya mtoto but tunaona wakubwa wazma tu hapo.....
ReplyNakweli mdau yaan aileti maana angeita watt wenzie wampe baraka,na mapombe tena lol shame on nyie
ReplyPost a Comment