Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua
Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa
Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa
Saba ( 7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakisikiliza kwa makini mada
mbali mbali zilizotolewa katika Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la
Zanzibar ZBC,uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa
Saba ( 7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC uliofanyika leo katika Ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati)
akifuatana na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed
Mazrui,(katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Juliun Raphael,alipowasili
katika Viwanja vya Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,kuufungua Mkutano wa Saba
(7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo. [ Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wadau
wa Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara ZBC wakiwa katika Mkutano
Uliofanyika kwa kujadili masuala mbali mbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano
huo ulifanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
on Saturday, January 19, 2013
Post a Comment