| Baadhi ya wahitimu wakike wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi kwenye mahafali hayo. |
| Mmoja wa wahitimu hao akipokea cheti kutoka kwa Mbunge wa Wawi Hamadi Rashid Mohamed ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mahafali hayo. |
| Mbunge wa jimbo la Wawi Pemba Hamadi Rashid Mohamed (aliyemshika mtoto) na baadhi ya maustadh wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wakiislamu mara baada ya mahafali yao. |
| Hapa akiwa na wahitimu wakiume. |
| Wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi ambayo ilijikita zaidi kwenye kuwasihi wajifunze kuishi vizuri na jamii nyingine ambazo wako tofauti na imani yao kwakutumia kauli nzuri. |


Post a Comment