Ndege ndogo ya kutumika kunyunyizia pesticides kwenye taasisi ya serikali ya kilimo anga imeuzwa kwa tshs laki tano kwa madai kuwa hakukuwa na vipuri. Hayo yameelezwa kwa waziri wa kilimo leo hii,

Source: Taarifa ya habari tbc1