Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA MICHELLE OBAMA


Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama. Kwenye picha anaonekana akicheza na mtangazaji Ellen katika kipindi cha Ellen Degeneres. Michele Obama ambaye ni mama wa watoto wawili.  Leo anatimiza miaka 49 ya kuzaliwa kwake. Michelle ni First Lady Mmarekani mweusi wa kwanza kabisa kuingia mjengoni (Ikulu).
 

Source:annapita.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top