Lori La Mafuta likiwa
limekwama kwenye kwenye Daraja katika Kijiji Cha Nyumbigwa kutokana na Mvua
Kubwa iliyosababisha barabara kupitika Kwa taabu sana na kupelekea Kukata
Mawasiliano kati ya Kigoma na Kasulu Asubuhi na Kupelekea foleni ndefu ya
mabasi yanayotoka Kigoma kuelekea katika Mikoa ya Mwanza, Kagera na Dar Es
Salaam Kuendelea Kukaa Kwenye foleni Muda mrefu ambapo mpaka sasa haijulikani ni
muda gani na lini lori hilo lililozama litatoka kutoka na mvua kubwa
zinavyonyesha na kupelekea barabara kupitika kwa taabu
Mabasi yatokeayo Kigoma
Kuelekea Mikoa ya Mwanza, Dar Es Salaam na Dar Es Salaam yakisubiri Lori liweze
kunasuliwa katika tope hilo darajani na kuweza kuendelea na Safari.
Magari yakiwa kwenye
foleni huku Askari wa Usalama Barabarani akishauriana na Baadhi ya Madereva
Baada ya lori la mafuta Kukwama darajani na kupelekea Kukata Mawasiliano kati ya
Kigoma na Kasulu Asubuhi Hii.Picha Na Ferouz Mwamba
Post a Comment