Baadhi ya Wazee wa
Sebleni wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi
hayupo pichani wakati alipokwenda kuzifungua Nyumba Mpya za Wazee Sebleni Mjini
Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akimpatia Funguo za Chumba Bi Tiba Vuai katika
Nyumba Mpya za Wazee Sebleni Mjini Zanzibar,baada ya Kuzifungua Nyumba
hizo.ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra za Miaka 49 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.
Nyumba mpya za Wazee
Sebleni zilizofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Idi,huko Sebleni Mkoa wa Mjini Magribi.ikiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra za
Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Post a Comment