Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mke wa rais, Mama Salma Kikwete kufunga mkutano wa Afya ya mama na mtoto Arusha

1- Mama Jk kushoto akielekea ARS kushoto NW wa Afya Dr. Seif Rashid 2f852
 3-- Mama Jk akiangalia ngoma ya utamaduni wakati wa mapakeezi mwenye miwani ni Mk wa uwt -kILIMANJARO MAMA  FLORA ZELOTE 9ce66

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete(kushoto) pamoja na Naibu wa Wizara ya Afya Dkt.Seif Rashid (mwenye miwani) wakielekea kupanda ndege katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa- JK- Nyerere jijini Dar es Salaam 16-jan 2013 kuelekea  Arusha kwaajili ya kufunga mkutano wa masuala ya Afya na Mtoto jan 17,2013. Mkutano huo unawashirikisha wajumbe wapatao 700 wa ndani na nje ya nchi. (picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top