 |
Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiuzindua rasmi mradi wa maji safi na
salama wa Michenzani hadi Chokocho Mkoa kusini Pemba ikiwa ni shamra shamra za
kutimiza miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya mwaka
1964. |
 |
Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akiangalia maji katika kisima cha maji
kilichopo Skuli ya Chokocho mara baada ya kuuzindua mradi wa maji safi na salama
wa Michenzani hadi chokocho. |
 |
Waziri wa Sayansi
na Teknolojia wa Serikali ya Muungano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa ambaye ni
muanzilishi wa mradi huo akitoa maelezo mbele ya Mgeni rasmi Balozi Seif na
kuchangia mipira na mabomba ya maji kusambazia maji katika Jimbo la
Mkanyageni. |
on Monday, January 7, 2013
Post a Comment