Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi
mbali mbali alipowasili kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya
Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifunua pazia kuashiria kufunguliwa kwa
Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka
49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,Akifungua Skuli ya Sekondari ya Madungu
Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitembelea katika maabara ya Skuli ya
Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya
kuifungua rasmi katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitembelea katika chumba cha maktaba ya
Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya
kuifungua rasmi katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Post a Comment