Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DK. SHEIN AZINDUA SHULI YA MADUNGU PEMBA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifunua pazia kuashiria kufunguliwa kwa Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Akifungua Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitembelea katika maabara ya Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya kuifungua rasmi katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitembelea katika chumba cha maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Madungu Wilaya Chake chake Pemba jana,baada ya kuifungua rasmi katika kuadhimisha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top