Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe na
Waziri wa Fedha Dkt William Mgimwa kabla hajahutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa
hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza maelezo ya
Meneja wa TANESCO wa Nzega akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo
nishati hiyo Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya
siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo
barabara, daraja na maji.
Umati wa wananchi ukiwa katika mkutano wa hadhara
uliohutubiwa na Rais Jakaya Kikwete mkoani Tabora leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo
ya Wilaya ya Uyui toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais
alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo
ya Wilaya ya Tabora Mjini toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Suleiman Kumchaya
wakati Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya
mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja
na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelzo ya ujenzi wa
barabara ya Tabora-Ndono kabla hajazindua rasmi i ujenzi wa barabara hiyo akiwa
katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya
maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua
rasmi ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa
huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Jumatatu mkutano
mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
on Tuesday, January 8, 2013
Post a Comment