Mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Dkt. Sengondo Mvungi akiongea katika mkutano na Mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP) uliolenga kupata maoni ya mtandao huo kuhusu Katiba Mpya
leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kushoto
kwake ni Wajumbe wengine wa Tume Bi. Mary Kashonda na Bi. Salma
Moulidi.
Mwananchama wa Mtandao
wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Subira Kibiga akitoa maoni ya mtandao huo kuhusu
Katiba Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatano, Jan.
9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Wengine ni wananchama
wenzake Bi. Diana Mwiru (kushoto) na Bi. Asseny Muro.
Mwenyekiti wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea katika mkutano na Mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP) uliolenga kupata maoni ya mtandao huo kuhusu Katiba Mpya
leo (Jumatano, Jan. 9, 2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kulia
kwa Jaji Warioba ni Bi. Ussu Mallya, Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao huo, Prof.
Ruth Meena 9Mjumbe wa Bodi ya TGNP) na Mwenyekiti wa TGNP Bi. Mary
Rusimbi.
Mwanachama wa Mtandao wa
Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Asseny Muro akitoa maoni ya mtandao huo kuhusu Katiba
Mpya katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo (Jumatano, Jan. 9,
2013), katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa
TGNP Bi. Mary Rusimbi na Mjumbe wa Bodi ya mtandao huo Prof. Ruth
Meena.
Post a Comment