.
Captain huyu wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria ambae pia alizichezea Bolton Wanderers and Hull City tayari mpaka sasa ameshaiuza club yake maarufu Nigeria iitwayo Club 10 ambayo ameiuza kwa Producer Don Jazzy ambae ni producer aliewatoa wengi akiwemo D’Banj, na sasa anafanya kazi na staa Tiwa Savage.
Akon ndani ya Club 10
Baada ya kuiuza hiyo Club, sasa hivi anauza nyumba yake nyingine iko Akute, Ogun State ambapo mpaka sasa imeripotiwa kwamba midfield Maestro yuko tayari kufanya mazungumzo ya kuanzia N17 million.


Post a Comment