wa Shirikisho la
Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa maelezo mafupi
kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba kuhusiana na
taratibu mbalimbali kuhusiana na msiba huo,huku baadhi ya wasanii wengine mahiri
wa filamu wakisikiliza kwa makini.
Mazungumzo mengine ya hapa
na pale yakiendelea kufanyika kuhusiana taratibu nzima za msiba wa Sajuki,ulioko
Tabata Bima,jijini Dar.
Rais wa Shirikisho la
Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba,kushoto ni
Mkurugenzi wa utafiti wa Clouds Media
Group,Ruge Mutahaba.
Ruge Mutahaba akisalimiana
na Mkurugenzi wa ASET,Asha Baraka,pichani kati ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia,Mh January Makamba pamoja na
Simon Mwakifwamba.
Wakifarijiana.
Vikao
vikiendelea
Ruge Mutahaba akiwa
ameongozana Mh January Makamba wakisalimiana na baadhi ya watu waliokuwa kwenye
msiba,walipokuwa wakiwasili
Post a Comment