
Kikosi cha Yanga leo
kinatarajia kushuka uwanja wa taifa kupimana nguvu na timu ya Black Leopard toka
Afrika kusini. Timu hiyo iliyotua na msafara wa watu 42 inashiriki ligi kuu ya
Premier Soccer League "PSL" nchini Afrika Kusini. Tunawatakia kila la heri
Wanajangwani
on Saturday, January 19, 2013
Post a Comment