Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BARAZA LA VIJANA LAFANA




Mgeni rasmi wa Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) la Kata ya Mbagala ambaye pia ni Mwenyekiti wa UVCCM, Oliver Mwambope (aliye katikati mwenye shati la mikono mirefu) akiwa kwenye meza kuu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa CCM, Kata ya Mbagala, Mzee Kassim Ngamba. anayemfuatia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Vijana, Anastazia Mwonga, Mjumbe wa Baraza la Mkoa DSM, Teddy. Kulia kwa Mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM, kata ya Mbagala, Abdulhaman Ngamba na Mjumbe wa Baraza la Mkoa wa DSM, Ally Makwiro


Meza kuu wakiwa wameketi baada ya kuingia Ukumbini.
 Katibu Kata ya Mbagala, Emmanuel John akiwakaribisha Wajumbe na kumkaribisha Mwenyekiti wa UVCCM, Kata ya Mbagala kufungua kikao.
 Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Mbagala, Abdulhaman Ngamba akifungua Kikao.
 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa UVCCM, Annastazia Mwonga akitoa maneno yake kwenye Baraza hilo la Kata.
 Mjumbe wa Baraza la Mkoa DSM, Ally Makwiro naye pia akiwaasa vijana kuchapa kazi vilivyo za chama.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa (W) Temeke wa UVCCM, Oliver Mwambope akiongea na Vijana wa Mbagala.





 Baadhi ya Wajumbe wa Baraza wakiwa makini kusikiliza.



Katibu kata wa UVCCM, Kata ya Mbagala, Emmanuel John akinena na Vijana wa Kata ya Mbagala pamoja na Wageni rasmi juu ya uwepo wa Vijana na dhana ya ushindi kwa dola.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa (W) Temeke wa UVCCM, Oliver Mwambope akiagana na Katibu Kata wa UVCCM, Kata ya Mbagala, Emmanuel John mara baada ya baraza la vijana kumalizika.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top