Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Benki ya Stanbic Yamuaga Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Stanbic, Hatibu Senkoro (waliosimama mbele kushoto) akimkabidhi zawadi  Mjumbe aliyemaliza muda wake, Mh. Abdulrahman Kinana (waliosimama mbele kulia) katika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine ni kutoka kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Dkt. Hamis Kibola, Mkuu wa Sheria wa Stanbic Bw. Sioi Solomon, Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bw. Bashir Awale, Nada Margwe na Bw. George Alliy.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top